Thursday, April 14, 2016

Diamond Platnumz aweka historia ulaya, asema alichogundua kuhusu shoo za ulaya


Diamond Platnumz alionekana kwenye safari zilizofikia tisa kwa kutembelea nchi mbalimbali za Ulaya na kufanya show ambapo kwenye hii Exclusive anaeleza kwanini alisafiri na familia yake akiwemo Mama yake na Mama watoto wake pamoja na mtoto wake.
Amesema >>> ‘Hii ni mara ya kwanza nasafiri na Familia, nimefanya hivi sababu miaka inaenda na mama yangu tangia niwe maarufu hajawahi kwenda Ulaya alikua anaisikia tu kwenye bomba, niliona kesho na keshokutwa nisije kudondoka nikafa alafu mama yangu akabaki akawa anaisikia tu
Kufahamu mengine zaidi aliyosema Diamond tazama hii video hapa chini….
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment