Saturday, April 2, 2016

Jay Z afungua kesi dhidi ya waliokuwa wamiliki wa TIDAL.


tidal1
Rapa JayZ amefungua kesi dhidi ya waliokuwa wamiliki wa TIDAL akidai walimtapeli kwa kumuambia uongo juu ya namba halisi ya wateja waliokuwa wakitumia mtandao huo kusikiliza na kutazama kazi za wasanii.
Kwa mujibu wa Music Business Worldwide, Jay Z anataka fidia ya dola milioni $15 kutoka kampuni ya Aspiro iliyomiliki TIDAL ambazo ni kama milioni 100 za pesa za Norway  ‘Krone’ ilipo kampuni hii.
JayZ alinunua TIDAL kwa dola milioni $57 na kuambiwa TIDAL inawateja 530,000 mpaka January 2015 ila haikuwa kweli.
Baada ya mwaka mmoja chini ya Jay Z TIDAL ilipata wat Kanye West’s The Life of Pablo was reportmiaji milioni 3 na hivi karibuni watu milioni 250 wamesikiliza album mpya ya Kanye West.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment