Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi; Mhe. William Lukuvi akisoma taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya
Wizara katika mwaka wa fedha 2016/17 na makadirio ya mapato na matumizi
kwa mwaka wa fedha 2017/18 kwa kamati ya kudumu ya bunge ya ardhi,
Maliasili na Utalii – Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge
ya Ardhi, Maliasili na Utalii; Mhe. Atashasta Ndetiye akiongoza
majadiliano wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, ilioshirikisha Kamati yake na watendaji wakuu wa
Wizara na taasisi zake – Dodoma.
Mbunge wa Korogwe mjini, Mhe. Mary
Chatanda akishiriki mjadala wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ilioshirikisha Kamati ya kudumu ya
Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii na watendaji wakuu wa Wizara na
taasisi zake – Dodoma.
Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
No comments:
Post a Comment