Diamond Platnumz ametoka kusaini endorsement deal nyingine inayovujisha udenda mdomoni (mouth-watering deal).
Mambo yote yamefanyika Ijumaa hii kwenye ofisi zake. Wakati Donald
Trump akisherehekeaa kuapishwa Rais mpya wa Marekani, Chibu alikuwa
makao makuu ya WCB na uongozi wake wakisherehekea kusaini deal hilo.
“Jus Pined out! Another deal today! Thank you God for the #Blessing,” aliandika kwenye video aliyoiweka Instagram.
Bado haijajulikana ni deal na kampuni gani, lakini kwa sherehe hizo,
hakuna shaka linaongezeka kwenye orodha ya mikataba yake minono
aliyonayo ikiwemo ya Vodacom, DSTV na Coca-Cola.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment