Kilichoteka Internet ni picha aliyoipost Aika ikionyesha wakiwa pamoja na wale wa zamani waliokua wanaunda PAH ONE, Nahreel amekaa mbele ya AyoTV na kusema yafuatayo >>> ‘Tumekua tukikutana hapa na pale hata kama watu wanaona tulikua mbalimbali’
‘Kila mtu amekua akisema tumemiss kitu ambacho tulikua tunakiona mwanzo hata sisi wenyewe kwenye mioyo yetu tulikua tunatamani siku ije itokee tena, washkaji walituchek na kusema kwanini tusifanye kitu…….. mimi na Aika tukaaamua kukaa chini ili tufanye kitu, tuko nao kwenye mazingira ya kufanya kazi pamoja kama THE INDUSTRY’ – Nahreel
Tazama hii video hapa chini kuwaona wote wakizungumza Exclusively kwenye AyoTV Entertainment…
No comments:
Post a Comment