Katika
mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu
binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya
Gari.
Awali
ilisemekana kuwa katika video hiyo binti aliyeonekana ni Paula Paul
ambaye ni mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja hali ambayo ilimfanya
muigizaji huyo kukanusha uvumi huyo.
Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika:
"Hey
everyone….jamani mimi sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema
mimi kwa kitu chochote kile…kwasababu najua binadamu kuongea
mmezoea..ila katika kuongea kwenu,kuingilia na kujudge my life naomba
msimuingize mtoto wangu…
"Sijawahi
kumuomba mtu anisaidie kulea hata siku moja…mimi nimeona kuna video
insambaa mnasema ni mwanangu na mnajua kabisa sie paula huyo ila
ilimradi tu mfurahishe roho zenu…nilinyamaza…ila sasa naona mnakoelekea
ni pabaya..mnahisi yeye hana moyo? Au mnahisi haumii?.
"Mwanangu
anasoma na sitaki mumchanganye na mambo yenu ya kipuuzi…vitu vibaya
mnavyo muombea mwanangu viwarudie wenyewe…leave my daughter alone
jamani…give us a break..fanyani tu mambo yenu yatakayofanya mpate faida
katika maisha”,
No comments:
Post a Comment