Baada ya kuachiwa kwa mfumo wa CD, album ya Navy Kenzo, Above In A Minute (AIM), imeingia online kwa kishindo.
Sasa watu wanaweza kustream album hiyo kupitia iTunes, Spotify,
Tidal, Akazoo na Boom Player. Kupitia Boom Player unaweza kustream bure
kabisa. Hii ni mara ya kwanza kwa album ya Tanzania kuingia mtandaoni
kwa uzito huo.
Tangu itoke, AIM imepokea maoni chanya zaidi na kutajwa kuwa miongoni
mwa album bora za Afrika kwa sasa. Kwenye album hiyo wasanii
walioshirikishwa ni pamoja na Alikiba, Patoranking, R2Bees, Mr Eazi na
Rosa Ree.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment