Kirusi kinachoathiri simu za Android
Hadi simu milioni 10 aina ya Android zimeambukizwa virusi vinavyotoa Clicks bandia kwa ajili ya matangazo kulingana na watafiti.
Programu hiyo pia inaweka apps na kumchunguza mwenye akaunti.Kirusi hicho kinawapatia takriban dola 300,000 kila mwezi waliokianzisha.
Simu nyingi ambazo zimeathiriwa na kirusi hicho zipo nchini China
Ongezeko la simu zilizoathiriwa na kirusi hicho lilibainika na kampuni ya usalama wa mitandao Checkpoint na Lookout.
Kirusi hicho kinatoka familia ya Shedun by Lookout but Hummingbad by Checkpoint.
China ,India,Ufilipino na Indonesia zinaongoza katika mataifa yenye simu zilizoathirika.
No comments:
Post a Comment