Monday, March 28, 2016

Soma hapa ujumbe wa Pasaka kutoka kwa MAMBADUDUBAYA kwenda kwa msanii CHIDI BEENZ



IMG-20160322-WA0053
Pichani kuanzia kushoto ni Meneja Babu Tale pamoja na msanii wa hip hop nchini Kalapina na mwishoni ni msanii Chidi Beenz wakiwa katika kituo cha LIFE & HOPE REHABILITATION. Leo mchana nimepata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwa msanii nguli hapa bongo anajulikana kwa jina la Dudubaya Mamba, nimeona sio mbaya ujumbe huu niwafikishie wadau kama alivyoniambia niwafikishie
1
2 3 45
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment